John 10:7-9

7 aKwa hiyo Isa akasema nao tena akawaambia, “Amin, amin nawaambia, mimi ndimi lango la kondoo. 8 bWote walionitangulia ni wevi na wanyang’anyi, lakini kondoo hawakuwasikia. 9 cMimi ndimi lango, yeyote anayeingia zizini kwa kupitia kwangu ataokoka, ataingia na kutoka, naye atapata malisho.
Copyright information for SwhKC